Monday 23 October 2017

Profesa Florens Luoga Gavana Mpya wa Benki kuu

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kuteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akipokea kijiti kutoka kwa Gavana wa awali, Profesa Benno Ndulu.
Rais Dkt. Magufuli ametangaza uteuzi huo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vyeti kwa Kamani ya zilizofanya uchunguzi wa kiwango, aina na thamani ya madini katika makinikia yaliyopelekea mazungumzo na Kampuni ya Barrick Gold.
Profesa Luoga alikuwa ni mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo.

No comments:

Post a Comment