Tuesday, 3 October 2017

Vijana Watakiwa Kujiepusha na Vurugu na Uvunjifu wa Sheria Kwenye Chaguzi

1
Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Selemani Mtibora akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Esther Mwanri na Mwenyekiti wa Asasi ya Tanzania Youth Vission Association (TYVA)Makwita Suleiman.
2Mwakilishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Esther Mwanri akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwanasheria wa Tume ya Taifa yaUchaguzi(NEC) Selemani Mtiborana kulia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Tanzania Youth Vission Association (TYVA) Makwita Suleiman.
3Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Selemani Mtibora(NEC) akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.
4Mwenyekiti wa Asasi ya Tanzania Youth Vission Association (TYVA) Makwita Suleiman akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam.
5Mmoja wa washiriki wa mkutano wa Majadiliano kuhusu Mchakato wa Uchaguzi na Sheria za Uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam, akichangia mada kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment