Akihutubia katika maandamano hayo, kiongozi mkuu wa upinzani Kemal Kilicdaroglu, ameishutumu serikali kwa mfululizo wa kukamatwa na kufungwa kwa watu ikiwa ni matokeo ya jaribio la mapinduzi lililoshindikana mwaka jana.
Amesema raia wa Uturuki wanaishi chini ya Udikteta, Rais Erdogan maandamano hayo yanaunga mkono ugaidi.
No comments:
Post a Comment