Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib akitoa hotuba katika Sherehe ya
kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na
Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la
Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Postdam
Ujarumani Jan Jacob akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa
mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la
Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni
Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akitiliana saini na Mstahiki
Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano
kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani
katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini
Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia wakibadilishana hati baada ya
kitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob
kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini
na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa
Jiji la Postdam Ujarumani wakionesha hati walizotiliana saini kuhusiana
na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji
la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani
Kikwajuni Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment