Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa akijadiliana jambo na Makamu wa Rais wa Shirika
la Maendeleo la Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko (wa kawanza kulia),
kuhusu maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini inayotekelezwa
na shirika hilo. Kushoto kwa Waziri ni Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa akifurahia jambo na Makamu wa Rais wa Shirika la
Maendeleo la Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko (wa kawanza kulia),
walipokutana jjijini Dar es salaam leo. Kushoto kwa Makamu wa Rais wa
JICA ni Mwakilishi Mkuu wa JICA Tanzania Bw. Toshio Nagase.
Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la
Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa walipokutana jijini Dar
es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kulia), na Makamu wa Rais wa Shirika la
Maendeleo la Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko (wa tatu kushoto), wakiwa
katika picha ya pamoja na wataalamu wao mara baada ya kujadili mikakati
ya kuboresha miundombinu nchini.
No comments:
Post a Comment