Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Magereza wakati
alipowasili kwenye gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kukagua
maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24,
2016.
1A9216 Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa gwaride lililoandaliwa na Jeshi
la Magereza wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga jijini Dar es
salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza
Desemba 24, 2016.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,
Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
alipokwenda kwenye Gereza la Ukonga kukagua maandalizi ya ujenzi wa
nyumba za makazi ya askari Magereza Desemba 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua maadalizi ya eneo la ujezi wa nyumba za askari magereza katika
gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Desemba 24, 2016. Kulia kwake
ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na kushoto
kwake ni Kaimu Kamishina Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Ali Malewa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Magereza baada ya
kukagua maandalizi ya eneo zitakapojengwa nyumba za makazi za Askari
magereza katika gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Desemba 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment