Thursday, 25 August 2016

Rais Magufuli amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA

 

Rais John Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amemteua Andrew Wilson Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Taarifa iliyoletwa na Kitengo cha Habari cha Ikulu inaeleza kuwa kabla ya uteuzi huo Massawe alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta katika Benki Kuu Tanzania (BOT).

No comments:

Post a Comment