Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
pamoja na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na
Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja
kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili
mambo mbali mbali ya kiutendaji,
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (katikati)
alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja cha pamoja cha
Wizara, Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na
Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu kilichofanyika leo Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),[Picha na Ikulu.] 07 /08/2017.
No comments:
Post a Comment