Monday, 7 August 2017

Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima

1Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaonja asali ili  kuwawezesha kutambua asali   bora mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Maliasili  na Utalii katika maonesho  ya Siku ya Wakulima yanayofanyika  kwenye viwanja Ngongo  mkoani Lindi
2
Afisa Misitu, Kekilia Kabalimu  akitoa  maelezo kwa wananchi   waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
3
Meneja wa Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray akisisitiza jambo kwa   wananchi   waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
4Baadhi ya wanachi wakipewa maelezo  katika bustani ya miti mara  waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya  Ngongo mkoani Lindi
5Meneja wa Mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray akisisitiza jambo kwa   wananchi   waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
6
Baadhi ya wanachi wakipewa maelezo  ya utaratibu wa kusafirisha vinyago kwenda nchi za nje waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo  mkoani Lindi

No comments:

Post a Comment