Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo
wanaoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea Uwezo na Ujasiri wakati
wanapotekeleza majukumu yao muda mfupi kabla ya kufungua rasmi mafunzo
hayo yanayofanyika katika chuo cha Polisi Moshi CCP mkoani Kilimanjaro
jana. Picha na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya askari wa Jeshi la
Polisi nchini kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wanaoshiriki mafunzo ya
wiki mbili ya kuwajengea Uwezo na Ujasiri wakati wanapotekeleza majukumu
yao wakiwa tayari kumuonyesha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro
(hayupo pichani), moja ya mbinu mahiri za kukabiliana na matishio ya
kiuhalifu na wahalifu, mafunzo hayo yanayofanyika katika Chuo cha Polisi
Moshi CCP. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment