Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na
kuwekeana makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi
wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea
nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu
ya Uzalendo kutoka nchini Burundi,Pascal Barandagiye, akizungumza
wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania,Burundi na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi
Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu ya Mpango
wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika makambi ya
wakimbizi, ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika
leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es
Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwakilishi wa Shirika la
Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania,Chansa Kapaya,
akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na Shirika la
Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana
makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi
wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea
nchini kwao.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba, akipitia nyaraka mbalimbali wakatiKikao cha 19
kinachoshirikisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na
kuwekeana makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi
wanaohifadhiwa katika makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea
nchini kwao.Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi,Harrison
mseke.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi,Mwigulu Nchemba(watano kulia), Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu ya
Uzalendo kutoka nchini Burundi,Pascal Barandagiye,(wasita kulia), na
Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini
Tanzania,Chansa Kapaya(wanne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya washiriki wa Kikao cha 19 kinachoshirikisha Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Burundi na Shirika la Kuhudumia
Wakimbizi Duniani(UNHCR),lengo ni kujadili na kuwekeana makubaliano juu
ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika
makambi ya wakimbizi ambao wako tayari kurejea nchini kwao.Kikao hicho
kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius
Nyerere,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment