Tamko la Kamati ya Nidhamu TFF kuhusu Msuva, Chirwa na Kaseke
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na
makosa ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga
nchini Morocco, Simon Msuva ambaye imempa onyo kali la barua.
Mbali na Msuva, wengine waliokuwa wakijadiliwa na kamati hiyo kwa utovu
wa nidha kwenye michezo ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Obrey
Chirwa (Yanga) na Deus Kaseke (Yanga) ambao wamesamehewa.
No comments:
Post a Comment