Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifafanua
jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa utoaji wa leseni
kwa magazeti na majarida leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati)
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuanza
kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida, kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi Kitengo cha Usajili Bw. Patrick Kipangula na kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha
Usajili Bw. Patrick Kipangula (kushoto) akisoma baadhi ya masharti ya
kanuni za usajili wa magazeti na majarida kwa Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi na kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati)
akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa utoaji
wa leseni kwa magazeti na majarida.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji
Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati akitoa
taarifa ya kuanza kwa utoaji wa leseni kwa magazeti na majarida.
Picha na Idara ya Habari (MAELEZO)
No comments:
Post a Comment