Wasichana wakicheza ngoma ya
asili ya kbila la Wiraq wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili
kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya
mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama ngoma ya asili ya Wairaq baada ya kuwasili kwenye Ofisi za
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha
Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wairaq baada kuwasili kwenye ofisi
za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa
Arusha Desemba 6, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo na wapili kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa
Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment