Kaimu Kamishna wa Maadili Bw.
Waziri Yahaya Kipacha leo amewaapisha Kiapo cha Uadilifu Wakuu wa Wilaya
Wateule Mhe. Evod Mmanda Herman (Mtwara) na Mhe Kisare M. Makori
(Ubungo) katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Ally Mataula – Afisa Habari – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Kaimu Kamishna wa Maadili Bw.
Waziri Yahaya Kipacha akiwaapisha Wakuu wa Wilaya wateule Mhe. Kisare M.
Makori (Ubungo) na Mhe. Evod Mmanda Herman (Mtwara) kiapo cha Uadilifu
katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar
es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Maadili Bw.
Waziri Yahaya Kipacha akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mteule Mhe.
Evod Mmanda Herman mara baada ya tukio la kiapo cha Uadilifu
lililofanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma jijini Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Maadili Bw.
Waziri Yahaya Kipacha akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe.
Evod Mmanda Herman mara baada ya tukio la kiapo cha Uadilifu
lililofanyika katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mteule
Mhe. Evod Mmanda Herman kulia na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe
Kisare M. Makori wakisaini Hati zao za Uadilifu mara baada ya kula kiapo
cha Uadilifu mbele ya Kaimu Kamishna wa Maadili Bw. Waziri Yahaya
Kipacha katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
jijini Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Maadili Bw.
Waziri Yahaya Kipacha kushoto aliyesimama akizungumza na Wakuu wa Wilaya
Wateule Mhe. Evod Mmanda Herman (Mtwara) wa kwanza kulia aliyekaa na
Mhe. Kisare M. Makori (Ubungo) wa pili kulia aliyekaa mara baada ya
tukio la kiapo cha Uadilifu lililofanyika katika Ofisi za Sekretarieti
ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,
TAMISEMI Mhandisi Musa Ibrahim Iyombe wa kwanza kushoto aliyesimama
akizungumza na Wakuu wa Wilaya Wateule Mhe. Evod Mmanda Herman (Mtwara)
wa kwanza kulia aliyekaa na Mhe. Kisare M. Makori (Ubungo) wa pili kulia
aliyekaa mara baada ya tukio la kiapo cha Uadilifu lililofanyika
katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment