Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young
wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya
Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera
maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika jiji la Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea Kusini
Song, Geum Young (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na maofisa wengine
wakati wa siku maalum ya kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya
Korea kusini ambapo Balozi huyo amekubali kusaidia kufunga kamera
maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika jiji la Dar es Salaam.
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na
Mafunzo Nsato Marijani akizungumza na Askari Polisi wanaokwenda kwenye
Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan wakati wa zoezi la
kuwakabidhi bendera ya taifa ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia
kuondoka hivi karibuni.(
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na
Mafunzo Nsato Marijani akiwakabidhi bendera ya taifa Askari Polisi
wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan ambapo
jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.(Picha na Jeshi la
Polisi)
No comments:
Post a Comment