Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha Ishirini na
tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu hoja Mbalimbali za
Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu
Mhe.Jenista Mhagama katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Maji Mhe.Eng Gerson
Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini
na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12,
2017.
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu hoja Mbalimbali za
Wabunge katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki
katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiongea jambo na Mbunge wa
Rombo(CHADEMA) Mhe.Joseph Selasini katika kikao cha Ishirini na tatu
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM)
Mhe.Neema Mgaya akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge wa Kibamba(CHADEMA)Mhe.John
Mnyika akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja
mbalimbali katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Mbunge wa Nzega Mjini(CCM)
Mhe.Hussein Bashe akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe.Zitto
Kabwe katika kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani katika kikao cha Ishirini na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Washiriki wa Shindano la Miss Udom
wakiwa Bungeni Kujifunza shughuli mbalimbali zinazoendelea katika
kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 12, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment