Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akizungumza
wakati wa tukio la kumkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya
Miss Word Super Model 2017, Miss. Asha Ally Mabula (kushoto) leo Jijini
Dar es Salaam. Miss huyo anatarjia kuondoka leo kuelekea Macau nchini
China ambapo atashiriki mashindano hayo.
Miss Super Model 2017 Asha Ally
Mabula akizungumza wakati wa tukio la kukabidhiwa bendera ya Taifa kwa
ajili ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Miss Word Super Model
2017 leo Jijini Dar es Salaam. Miss huyo anatarajia kuondoka leo
kuelekea Macau nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo. Kutoka
kulia ni Afisa Utumishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Mkurugenzi
wa Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi.
Leah Kihimbi na Meneja Mkuu wa Tanzania Miss Super Model Ibrahim Thabit.
Mkurugenzi wa Sanaa kutoka Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Leah Kihimbi akimkabidhi
bendera ya Taifa mshiriki wa mashindano ya Miss Word Super Model 2017,
Miss. Asha Ally Mabula (kushoto) wakati wa hafla ya kumkabidhi bendera
hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO leo Jijini
Dar es Salaam. Miss huyo anatarajia kuondoka nchini leo kuelekea Macau
nchini China ambapo atashiriki mashindano hayo. Katikati ni Afisa
Utumishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Baahi ya waandishi wa habari
wakishuhudia tukio la kumkabidhi bendera ya Taifa mshiriki wa Miss Word
Super Model, Asha Ally Mabula anayetarajia kushiriki mashindano hayo
Macau nchini China.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment