Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha vyeo vipya Inspekta
Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro kabla ya kumuapisha Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Inspekta Jenerali wa
Polisi(IGP) Simon Sirro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro akila kiapo cha uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro akisaini Hati ya Kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro mara baada ya kula kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Mambo ya
Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba,IGP mpya Simon Sirro, IGP wa zamani
Ernest Mangu pamoja na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na
Magereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Inspekta
Jenerali wa Polisi(IGP) Simon Sirro pamoja na IGP wa zamani Ernest Mangu
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na IGP wa zamani Ernest Mangu
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali wa
Majeshi ya Polisi na Jeshi la Wananchi mara baada ya kumuapisha IGP
Simon Sirro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba mara baada ya tukio la uapisho wa IGP
Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment