Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi
akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa
huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao
iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa
katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja
kutoa huduma nchini.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi
akizungumza na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo
Japani (JICA) nchini, Bw. Toshio Nagase mara baada ya hafla fupi ya
kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma
nchini.
No comments:
Post a Comment