Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na
sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha
kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3,
2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya
Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii
,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Karagwe (CCM)
Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Oliver Semuguruka akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira wakifurahia jambo katika
kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Bagamoyo(CCM)
Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Wabunge wa Chama cha Demokarasia
na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA
No comments:
Post a Comment