Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017
akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017
akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za
Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani
Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za
Mkoa wa Dar es salaam na kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya mkoa huo
Kamishna Simon Sirro baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa

PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, leo tarehe 02 Mei 2017, amemaliza ziara ya siku Tatu mkoani
Kilimanjaro, ambapo akiwa mkoani hapa pamoja na mambo mengine alikuwa
mgeni rasmi katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani – Mei
Mosi.
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro – KIA, Rais Magufuli ameagwa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Mecki Saidick..
Jaffar Haniu,
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU,
Moshi, Kilimanjaro.
02 Mei, 2017

No comments:
Post a Comment