Aidha hatua hiyo imechukuliwa kufuatia ongezeko la upinzani dhidi ya
rais Joseph Kabila ambaye amekataa kujiondoa madarakani wakati awamu
yake inamalizika mwezi Desemba .
Migomo ya kitaifa imepangwa kufanyika Jumanne na Jumatano .
Mapigano ya Jumatatu baina ya kundi la Bundu dia Kongo na vikosi vyaa usalama ,lilipelekea vifo vya watu 14 kutokea .
Mkuu wa idara ya mawasiliano nchini humo Oscar Manikunda Musata
amefahamisha kwamba mitandao ya kijamii kama Twitter,Whatsap ,Facebook
na Instagram itafungwa kwa muda .
No comments:
Post a Comment