Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akishirikiana na Viongozi wengine
kufungua Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa na wataalamu
ambao ni askari magereza kwa kushirikiana na wafungwa.Ufunguzi huo
umefanyika wilaya ya Mpwapwa,mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa ufunguzi
wa Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa na wataalamu ambao
ni askari magereza kwa kushirikiana na wafungwa.Gereza hilo limegharimu
jumla ya shilingi milioni 65 .Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya
Mpwapwa,mkoani Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la
Mpwapwa,Mheshimiwa George Lubeleje , akizungumza wakati wa ufunguzi wa
Gereza la Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa na wataalamu ambao ni
askari magereza kwa kushirikiana na wafungwa.Gereza hilo limegharimu
jumla ya shilingi milioni 65 .Ufunguzi huo umefanyika wilaya ya
Mpwapwa,mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Magereza Nchini,Dk. Juma Malewa, akizungumzaw akatiwaufunguzi wa Gereza la
Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwa nawataalamu ambaoniaskarimagerezakwakushirikiana na
wafungwa.Gereza
hilo.limegharimujumlayashilingimilioni
65 .Ufunguzi huomumefanyikam wilaya,yaMpwapwa,MkoaniDodoma.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
Naibu Waziri waWizaraya Mambo
yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia),
akiongozana naKamishna Jenerali waMagerezaNchini, Dk. JumaMalewa(kulia)
kuelekea katikaeneolilipoGereza la WanawakeMpwapwa,
lililojengwa na wataalamu ambao ni askari magerezakwakushirikiananawafungwa.Gerezahilolimegharimujumlayashilingimilioni
65 .UfunguzihuoumefanyikawilayayaMpwapwa,mkoaniDodoma.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
WananchiwaMpwapwawakimsikilizaNaibu
Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad
Masauni(hayupopichani) wakatiwaufunguziwaGereza la
Wanawake wilayani Mpwapwa lililojengwanawataalamuambaoni askari magereza kwa kushirikianana wafungwa.Gereza hilo limegharimu jumla yashilingi milioni
65 .Ufunguzihuoumefanyikawilaya ya Mpwapwa,mkoaniDodoma.PichanaWizaraya Mambo ya Ndani naNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
SERIKALI KUJENGA NYUMBA 9500 ZA ASKARI MAGEREZA
Na Mwandishi Wetu, MOHA
Serikali kupitia Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Benki ya Exim inatarajia kujenga
nyumba 9500 za askari magereza ili kukabiliana na changamoto za makazi
ya askari wa jeshi hilo hapanchini.
Akizungumzia changamoto za Makazi
ya askari wa Jeshi la Magereza Nchini, wakati wa uzinduzi wa Gereza la
Wanawake wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alisema Serikali inatambua changamoto
za makazi kwa askari magereza na tayari iko katika mazungumzo na benki
ya Exim ili iweze kujenga nyumba hizo.
“Nawaomba askari wetu nchi nzima
wawe na subira Serikali inatambua na inashughulikia changamoto ya
makazi ya askari na tayari tuko katika mazungumzo na wadau ikiwemo
benki ya Exim kuanza mradi wa ujenzi wa nyumba takribani 9500, lengo ni
kukidhi kiu ya makazi ya askari na familia zao,” alisema Masauni.
Awali akitoa maelezo ya ujenzi wa
Gereza hilo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, Dk. Juma
Malewa alisema ujenzi wa Gereza hilo umefanywa na wataalamu ambao ni
askari Magereza kwa kushirikiana na wafungwa kama sehemu ya utekelezaji
wa amri ya Mh. Rais Dk. John Magufuli ya kutaka wafungwa watumike
katika kazi za uzalishaji ikiwemo kilimo,ujenzi na ufundi mbalimbali.
Ujenzi wa Gereza hilo umegharimu
jumla ya shilingi milioni 65 na litasaidia pia kuhifadhi wafungwa 148
na hivyo kupunguza msongamano wa wafungwa katika Gereza la Kongwa mkoani
Dodoma pamoja na kuepuka usumbufu wa ndugu wa wafungwa kusafiri mpaka
wilayani Kongwa kwenda kuwaona ndugu zao.
No comments:
Post a Comment