Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara
Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar
es salaam leo Mei 6, 2017. Wengine ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa
(kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia) pamoja na
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi.

Baadhi ya Mawaziri, pamoja na
Wajumbe, wakimsikililiza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara, Dkt. John Pombe
Magufuli wakati akiongea katika Mkutano wa Baraza la kumi la Biashara
Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar
es salaam leo Mei 6, 2017. PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment