
Mwenyekiti wa Chama Cha wanannchi CUF anayetambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa nchi Professa Ibrahim Lipumba na aliyekuwa Mgombea urais kupitia chama cha Act-wazalendo kipekee wakiwa kama wananwakilisha vyama pinzania walioneka kwenye Dhifa ya kumlaki Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.

Kwa upekee sana viongozi hao walionekana kwenye Dhifa hiyo iliyoandaliwa na Rais John Magufuli.
Viongozi wengeine ni pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Agostino Mrema
No comments:
Post a Comment