Mtu 1 amefariki na 5 kujeruhiwa mkoani Kilimanjaro
Mtu 1 amefariki na 5 kujeruhiwa baada ya basi la Hood
T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.
- Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta
No comments:
Post a Comment