
Wafuasi wa Prof. Lipumba wamekusanyika makao makuu ya CUF wakisubiri kumpokea kama mwenyekiti wao wadai wana barua kutoka kwa Msajili wa vyama inayomtambua kama Mwenyekiti.
- Wafuasi hao wa Lipumba wamesikika wakiimba na kucheza huku wakidai kuwa wanasubiri msafara wa Lipumba ambao upo njiani kuelekea Makao Makuu ya CUF Buguruni.
No comments:
Post a Comment