Wenger: Wachezaji wa Afrika wamenifaa sana katika soka
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiambia BBC kuwa wachezaji kutoka
nchi za Afrika wamekuwa wenye umuhimu mkubwa katika taaluma yake ya
miaka 20.
Wenga alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wake wa kawaida na waandishi
wa habari kabla ya mechi ambapo pia alitunukiwa kwa kukiongoza klabu
hicho kwa miongo mwili.
Akiwa mwenye uso uliotabasamu, Wenger amesena kuwa wachezaji kutoa
Afrika wana moyo, wenye ubunifu na nguvu, masuala ambayo ni vigumu
kuyapa kwenye mche
Aliwataja wachezaji akiwemo Nwanko Kanu wa Nigeria, Kolo Toure wa Ivory
Coast na gwiji raia wa Liberia George Weah, ambaye alikuwa meneja wake
katika klabu ya Monaco nchini Ufaransa, kama wachezaji watatu waliokuwa
na uswawishi mkubwa katika taaluma yake.
No comments:
Post a Comment