Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista
Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma katika vikao vya bunge la
bajeti vinavyofanyika mjini humo.
Mh. George Masaju Mwanasheria Mkuu wa Serikali akijadiliana jambo na Mh. Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati wa vikao vya bunge m leo mjini Dodoma.
Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Harisson Mwakyembe akijibu moja ya masawali ya waheshimiwa wabunge wakati wa kikao hicho.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista
Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Mtera Mh. Livingstone
Lusinde.
Naibu Spika Mh. Tulia Akson akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma leo
Baadhi ya wageni wanafunzi waliohudhuria kikao cha leo wakifuatilia kwa karibu shughuli za bunge mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment