Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu amefikishwa mahakamani leo
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu akifika katika
mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu.
Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha
Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada
ya kukosa dhamana.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu apandishwa kizimbani
mchana huu katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es
Salaam leo.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu akionesha alama ya
chama cha Democrasia na Maendeleo akiwa ndani ya Mahakama ya hakimu
mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment