Maafisa Mawasiliano Serikalini
(TAGCO), Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Wahariri wa Vyombo vya Habari,
Madaktari, Waandishi wa Habari pamoja na Wapiga picha wakifanya mazoezi
ya viungo ikiwa ni sehemu ya kulinda miili yao dhidi ya magonjwa
yasiyoambukiza pamoja na utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais wa
Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alilolitoa 17 Desemba, 2016 ambalo
linawataka Watumishi wa Uma kazini kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi.
Mazoezi hayo yamefanyika 18/02/2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.
No comments:
Post a Comment