Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza Mwakilishi wa Dar es
Salaam kutoka Benki ya Exim ya Korea Bw. Lee Hyonjong (wa pili kushoto),
ofisini kwake leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Mwakilishi wa Dar es
Salaam kutoka Benki ya Exim ya Korea Bw. Lee Hyonjong, kuhusu uwekezaji
wa miradi inayotekelezwa na Wizara hiyo, ofisini kwake leo, jijini Dar
es Salaam.
Moja ya mradi uliokuwa ukijadili
na ugeni kutoka Mwakilishi wa Dar es Salaam kutoka Benki ya Exim ya
Korea Bw. Lee Hyonjong na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa leo, jijini Dar es Salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments:
Post a Comment