Mastaa wa mtandao wa YouTube huchaji wastani wa $187,500 (£143,000) kwa kila tangazo linalotokea kwenye channel zao, kwa mujibu wa agency ya Marekani.
Kampuni ya Captiv8 ya huko San Francisco imedai kuwa ‘influencers’ wenye followers kuanzia milioni 3 – 7 huingiza wastani wa $75,000 kwa post moja ya tangazo kwenye Instagram.
Tangazo la Twitter hulipiwa wastani wa $30,000, ilisema.
Watu wenye followers 50,000 hadi 500,000 hutengeneza $2,500 kwa kila tangazo la YouTube na $1,000 kwa post ya Instagram.
No comments:
Post a Comment