Friday, 3 June 2016

Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mitandao


LN1Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor kushoto akisalimiana na Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano mhandisi Peter Philip uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akimpokea kwa ajili ya uandaaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mitandao
 
LN2Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (wa nne kutoka kushoto) waliopo mbele akiwa katika picha ya pamoja na wadau na wataalam wa Sekta ya Mawasiliano wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini.
LN3Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Kitolina L. Kippa. akimkaribisha Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor kuzungumza na wadau na wataalamu wanaoandaa  Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini (hawapo pichani).
LN4Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor akizungumza na wadau  na wataalamu wanaoandaa  Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao (hawapo pichani) mbele ya vyombo vya  habari  
LN5Wadau na wataalamu wanaoandaa  Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment