Friday, 3 February 2017

Jinsi wasanii walivyowasili kituo cha Polisi kati kwa ajili ya Mahojiano ya kutuhumiwa kutumia Madawa ya kulevya

 SEPE
Msanii Wema Sepetu akiongozwa na Mmoja wa Makachero wa kituo kikuu  cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam ili kuripoti kituoni hapo kufuatiwa tuhuma zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda jana wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo Ilala jijini Dar es salaam, Makonda jana aliutaja mtandao unaojihusisha na uuzaji na matumizi ya madawa ya kulevya jijini Dar es salaam wakiwepo wasanii maarufu na baadhi ya askari wa jeshi la polisi na baadhi ya wamiliki wa klabu za kuuza pombe.
SEPE3 SEPE4
babu2 babu3
SIRO
Kamnda wa Kanda Maalum ya Kipolisi Mkoa wa Dar es salaam Kamanda Simon Sirro akiwasili katika kituo kikuu cha polisi kati huku akifuatana na waandishi wa habari mara baada ya kutoka kwenye mkutano wao uliofanyika Oyserbay jijini Dar es salaam.
SIRO2  
babu
Msanii Babuu wa Kitaa akiwasili kituo cha Polisi kati jijini Dar es salaam kwa ajili ya mahojiano.
babu1
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kituo cha Polisi kati ili kujua kinachojiri katika kituo hicho.
OTH_0403
Msanii TID akiwasili kwenye kituo cha Polisi Kati jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment