
Muigizaji huyo alifunguka kuhusu kukosekana kwa mvuto wa mshindano hayo miaka ya hivi karibuni.
“Sijui ni nini hasa kimetokea, maana mimi sifuatilii kabisa Miss Tanzania kwa sasa wala sijui Miss Tanzania mwaka huu anaitwa nani, nimeamua kuachana nayo kabisa sijui lolote, ila ninachojua mimi 2006 ndio mwaka wa mwisho wa Miss Tanzania” Alisema Wema.
No comments:
Post a Comment