Thursday, 23 June 2016

Uingereza kuamua kubaki muungano wa Umoja wa Ulaya.

 
Asubuhi hii raia wa Uingereza wanapiga kura ya maoni kuamua iwapo Uingereza isalie au ijiondoe katika Muungano wa Umoja wa Ulaya.

Kwa mara ya mwisho Uingereza kuendesha kura maoni kuhusu uanachama wake ndani ya Umoja huo ilikuwa ni miaka aroboini iliyopita.
Hata hivyo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa BBC haitaweza kukuletea matangazo ya uchaguzi huo moja kwa moja hadi hapo vituo vitakapofungwa na kura kuhesabiwa,

No comments:

Post a Comment