
Kocha wa wanawake wanaokimbia mita
1500, msomali Jama Aden ambaye ni kocha wa mkimbiaji Nyota wa Ethiopia
Genzebe Dibaba ametiwa nguvuni na vikosi vinavyofanya msako dhidi ya
wanaotumia dawa za kusisimua misuli michezoni.
Jama Aden amekamatwa baada ya Polisi kuvamia chumba chake cha Hotel huko Sabadell, Kasikazini mwa Barcelona,Spain wakidai kuwa amekuwa akiwaelekeza wachezaji kutumia madawa yaliyozuiliwa michezoni.
No comments:
Post a Comment