Serikali ya Kenya imepanga kufunga kambi zote za wakimbizi mwishoni mwa mwaka huu.
Waziri
wa maswala ya usalama wa taifa bwa Joseph Nkaisserry amesema zaidi ya
watu laki sita ambao kwa sasa wanaishi katika makambi
tofauti,watarejeshwa makwao.Miongoni mwao wameishi katika kambi hizo kwa zaidi ya miaka 25.
Serikali ya Kenya inasema wakimbizi wanasababisha mzigo wa kiuchumi huku wakihatarisha usalama.
Watetezi wa waki za binaadamu wamekosoa wazo hilo na kusema Kenya watatengeneza mazingira magumu.
No comments:
Post a Comment