Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni waalikwa wakati
wa hafla ya kuwaapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mnadhimu Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mabalozi
pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma leo jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akila kiapo cha utii mbele ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo
Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi.
Mkuu wa Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiweka saini katika hati ya
kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt.
John Pombe Magufuli wakati wa Hafla ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini katika hati ya kiapo
cha utii wakati wa Hafla ya kumwapisha Mkuu wa Majeshi la Majeshi ya
Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Wananchi
Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akipokea salamu ya utii kutoka
kwa kikosi maalumu cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mara baada ya
kuapishwa kuwa Mkuu wa Majeshi leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Meja Jenerali James M. Mwakibolwa akila kiapo cha utii
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe
Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi.
Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Major Jenerali James M. Mwakibolwa akiweka saini katika
hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi
la Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini katika hati ya kiapo
cha utii wakati wa hafla ya kumwapisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Meja Jenerali James M. Mwakibolwa leo jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vutendea kazi Mnadhimu
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Major Jenerali James M. Mwakibolwayo
wakati wa hafla ya kuwapisha wateule hao leo jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza Dr.
Juma Malewa akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Kamishna
Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa wakati wa hafla ya kuwapisha
wateule hao leo jijini Dar es Salaam.
Balozi Paul Mella ambaye
ataiwakilisha nchi ya Tanzania nchini katika Jamhuri ya Demokrasia ya
Congo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Balozi Samweli William Shelukindo
ambaye anakwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Ufaransa akila kiapo cha
utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe
Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa
Umma Nyakimura Mathias Mhoji akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa
ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Boaz Mikomangwa akila kiapo cha utii
mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Inspekta Jenerali Ernest Mangu
katika hafla ya kuwaapisha baadhi ya viongozi walioteuliwa na Mhe. Rais
kushika nyazifa mbalimbali leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo ( kulia) mara
baada ya hafla ya kumuapisha leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni
Mnadhimu wa Jeshi hilo Meja Jenerali James Mwakibolwa, Rais wa Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Mohamed Shein na Waziri Mkuu wa Kassim
Majali.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance S. Mabeyo akifurahia jambo na Mkuu wa
Majeshi Mstaafu Jenerali Davis Mwamunyage wakati wa hafla ya kuapishwa
kwake leo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya Makamishna wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania wakati wa
hafla ya kuwaapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mnadhimu Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Mabalozi
pamoja na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment