Friday, 3 February 2017

Habari katika Picha

AFI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kushoto) akiongoza kikao kazi na wasimamizi wa miradi ya nishati kilichofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 03 February, 2017 lengo likiwa ni kujadili maendeleo na changamoto za miradi hiyo.
AFI 1
Sehemu ya wasimamizi wa miradi na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia maelekezo  yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi  Juliana Pallangyo (hayupo pichani)
AFI 2
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo akisisitiza jambo katika kikao hicho.
AFI 3
Sehemu ya wasimamizi wa miradi na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakifuatilia maelekezo  yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati, Dkt. Mhandisi  Juliana Pallangyo (hayupo pichani)
AFI 4
Kutoka kushoto, Milka Digha,  Alika Ilomo na Costa Mosha kutoka Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Nishati na Madini  wakinukuu maelekezo  mbalimbali yaliyokuwa yanatolewa katika kikao hicho.

No comments:

Post a Comment