Sunday, 5 November 2017

Waziri wa uhaimiaji wa Denmark awagonga wahamiaji waliokuwa wakiandamana

Inger Stöjberg waziri wa uhamiaji wa Denmark awagonga wahamiaji waliokuwa wakiandamana kupinga mkutano uliofanyika kuwahusu.
Baada ya mkutano uliofanyika , waziri wa uhamiaji wa Denmark aliingia katika gari lake na kuanza kuwagonga.
Mashahidi walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa kitendo hicho hakiridhishi.
Polisi mmoja alijaribu kumzuia waziri huyo bila ya kufaulu.
Mtu mmoja alijeruhiwa katika tukio hilo.
Hakuna taarifa zaaidi zlizotolewa kuhusu mhamiaji huyo aliejeruhiwa.
Waziri huyo wa uhamiaji aliwahi kupeperusha  kibonzo kilicho mkashifu  Mtume Muhammad katika mitandao ya kijamii.

No comments:

Post a Comment