Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja
la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa ameongozana
na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es
salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini
kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu
ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha
ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja
la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam
akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa
Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea
kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Wananchi wakimshangilia Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa
maagizo baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu
la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana
na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es
salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini
kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Taswira za maendeleo ya ujenzi
wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama
lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment