Kwa mujibu wa habari,kimbunga hicho cha "Dahlia" kimesababisha mmomonyoko wa udongo na mafuriko mashariki mwa Java.
Ripoti zinaonyesha kuwa mpaka sasa watu watano hawajulikani walipo huku harakati za uokozi zikiendelea.
Takriban nyumba 2000 zimeathiriwa na kimbunga.
Siku ya Alhamisi kimbunga kingine cha "Cempaka" kiliikumba Java na kusababisha vifo vya watu 27.
No comments:
Post a Comment