Mhe. Eng. Christopher K. Chiza (MB) Waziri wa Kilimo
Chakula na ushirika akikagua ujenzi wa ghala la TANECU (Tandahimba
Newala Cooperative Union) Ghala hilo litakuwa na uweza wa kuhifadhi tani
10,000 za korosho na linajengwa Tandahimba . Ghala hilo ni maandalizi
ya ujenzi wa kiwanda cha kubangulia korosho kitakachojengwa na TANECU.
Mhe. Eng. Christopher K. Chiza (MB) Waziri wa Kilimo
Chakula na Ushirika, akipata maelezo ya zana inayotumika kuandaa
mashamba ya mpungaa katika kijiji cha Mahuninga wilaya ya mtwara.
Mashamba hayo yenye ukubwa wa ekari 1,000 yanalimwa na mwekezaji
mzalendo Bw. Hamis Ismail Msigwa ambaye anashirikiana na vijiji vya
Mahuninga na kitunguli.
Mhe. Eng Christopher K. Chiza (MB) akikagua shamba
linaloandaliwa kwa ajili ya kilimo cha mpunga katika kijiji cha
Mahuninga katka Wilaya ya Mtwara. Mashamba hayo yanamilikiwa na
mwekezaji mzalendo Hamis Ismail Msigwa.
No comments:
Post a Comment