MACHIMBO YA MADINI YA MCHANGA
MACHIMBO ya madini ya Ujenzi(Mchanga)ni bidhaa ambayo inalijenga
Taifa letu, lakini kwa upande wa pili wa shilingi,uchimbaji wa madini
hayo,unayaweka mazingira yetu katika hali hatarishi kwa vizazi vijavyo.
LORI aina ya Isuzu likitoka eneo la mgodi wa machimbo ya madini ya Ujenzi chimbo la
Mwanadulatu,Mkuranga Mkoani Pwani.
- UPAKIAJI wa madini ya ujenzi kataka malori
ndio kazi kubwa kwa vijana wa mwanadulatu,wilaya ya Mkuranga ,Mkoa wa
Pwani ,ambapoo kwa sasa Vijana hao wamejikita katika ajira hiyo.
- SIO mlipuko wa Bomu ila ni vijana wapo kazini
wakipakia Madini ya Ujenzi(Mchanga)Madini hayo yanapatikana katiaka
kijiji cha Mwanadilatu kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa
Pwani,kilomita 5 toka mbagala rangi tatu.
- VIJANA wakieka sawa madini ya Ujenzi(Mchanga)
waliyoyapakia katika gari,ambayo yapo tayari kwenda kufanyiwa ujenzi
mbalimbali ndani na nje ya nchi,chimbo la madini hayo lipo
Mwanadulatu,Mkuranga,Pwani.
- MMILIKI wa chimbo la madini ya
Ujenzi(Mchanga)lililopo Mwanadulatu,Mkuranga Mkoa wa Pwani,Kitindi
Abdallah Langweni(48)(kulia)akiwa na karani wake wakielekea Wizara ya
Nishati na Madini,kulipia kodi ya kila mwezi ya chimbo lake.
No comments:
Post a Comment