Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi.
Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka
mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika
ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta
(PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu
ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika
la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Watumishi kutoka kada za
Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa hiyo.
Mwakilishi wa Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Makao Makuu Dar es Salaam
Dkt. Gemini Mtei akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina
ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka
ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa
Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini
ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina
hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa
Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Bw. James
Mtatifikolo akifafanua jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya
siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa
Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini
ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina
hii imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa
Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Meneja Programu ya Uimarishaji wa
Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu
akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya
Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa
(PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii
imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
Baadhi ya washiriki wa semina ya
siku nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa
semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inayoendeshwa kupitia Programu
ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID). Semina hii
imewahusisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu
wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa
na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Kiongozi wa wawezeshaji Bw. Frank
Makua Charles akichokoza mada wakati wa semina katika akichokoza mada
wakati siku ya kwanza ya semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa
kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo
Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha
watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu,
Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za
mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mmoja ya wawasilisha mada kutoka
OR – TAMISEMI Bw. Jeremia Mtawa akiwasilisha mada kuhusu namna mfumo wa
PlanRep utakavysaidia katika kuimarisha utendaji wa Halmashauri nchini
wakati wa semina semina ya siku nane kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma katika upangaji mipango na bajeti (PlanRep) leo Jijini
Mbeya. Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa
Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inashirikisha
watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu,
Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za
mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini
Mtei akiwasilisha mada kuhusu Uimarishaji wa Mfumo wa Sekta za Umma
(PlanRep) utakavyosaidia katika upimaji matokeo na utendaji wa
Halmashauri nchini, wakati wa semina kuhusu mfumo huo leo Jijini Mbeya.
Semina hii ya siku nane inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa
Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo
la Watu wa Marekani (USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za
Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya,
Njombe, Iringa na Songwe
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi.
Mariam A. Mtunguja akiagana na Meneja Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya Bw. Gasper Materu mara baada ya
ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na
Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za
Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na
Njombe.Katikati ni Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi.
Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki washiriki wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa
kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) mara
baada ya kufungua semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa
Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa
ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo
inahusisha watumishi wa umma kutoka kada za Maafisa Mipango,Wachumi,
Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka
Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.
Picha zote na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya
No comments:
Post a Comment