Tuesday, 7 February 2017

Wasanii wanaotuhumiwa kutumia madawa ya kulevya wamepandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo

IMG_3015.JPG
Wasanii akiwemo Tunda, Wema na Rachael na baadhi ya watu wanaoshikiliwa na kituo cha polisi kati Kanda Maalum ya Dar es salaam  kwa tuhuma ya dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kusomewa mashtaka yao.
Watuhumiwa hao wameshushwa nyuma ya majengo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu huku baadhi ya wakijifunika nyuso zao kukwepa camera za waandishi wa habari
mahak1

No comments:

Post a Comment