Masaa kadhaa baada ya mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kusema kwamba
ametaarifiwa kwamba Jeshi la polisi linataka kumkamata, Kamanda wa
Polisi mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa na amesema taarifa hizo sio za
kweli
“Hiyo taarifa yeye mwenyewe ndio anajitangazia akamatwe lakini sisi hatumkamati kwa sababu hatuna issue nae.”
“Unajua watu wanafikia mahali wanatafuta umaarufu wakamatwe ili wapige
mayowe, hatuna mpango wowote wa kumkamata kwasababu hajatenda kosa la
jinai.” – alisema Kamanda Mambosasa
No comments:
Post a Comment